Rayvanny Ft Marioo - Te Quiero (Official Music Video)
5:22
YouTubeRayvanny
Rayvanny Ft Marioo - Te Quiero (Official Music Video)
Video was Shot & Directed by Eris Mzava Call : +255713924377 Email: [email protected] Follow Rayvanny On: Twitter : http://www.twitter.com/rayvanny/ Instagram : http://www.instagram.com/rayvanny/ For Bookings: Email: [email protected]
6.9M viewsJun 27, 2022
Lyrics
(Aiyolizer)
(Sound boy)
Umenichanganya, oh mama na sikatai (sikatai)
Ulivyo sexy, sexy I'm gonna die (I'm gonna die)
Uzuri kakupa mama ruksa, n'jidai
Harufu karafuu ya Zanzibar, marashi ya Dubai, aloh
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutengana apange Mwenyezi
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutengana apange Mwenyezi
'Asa nibebe, nikubebe-be
Domo zege wakate ngebe
Una utege, kiuno lege
Utatoboa shati na chuchu dede
Honey nakupendaga, te quiero
I love you, te quiero
Te amo, te amo, te quiero
Te -, te quiero
Honey nakupendaga, te quiero
I love you, te quiero
Te -, te quiero
Te -, te quiero
Aah, ah, mmh
Na s'taki mpaka nikukose nd'o nijutie, mhmm
Ama uondoke nd'o tena nilie, ah ah
Eti mpaka unitoke nd'o niseme nataka nikwambie, ayy
Kwamba nakupenda kila nikiamka, ah ah
Na usipo toka machoni mwangu, sitamani hata kula
Nahisi raha, utamu, unaikosha nafsi yangu
Umejifungia moyoni mwangu, yani ninafuraha
Naona raha, utamu, unaikosha nafsi yangu
(Ah-aah) hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa ah-aah
Aah baby
'Asa nibebe, nikubebe-be
Domo zege wakate ngebe
Huo utege, kiuno lege
Utatoboa shati na chuchu dede
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Te amo, te amo, te quiero
Te -, te quiero
Honey nakupendaga, te quiero
I love you, te quiero
Te amo, te amo, te quiero
Te -, te quiero
I fall in love
I fall in love (fall in love)
See more videos
Static thumbnail place holder

Short videos

Static thumbnail place holder