ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye ...
PAMBANO la Floyd Mayweather Jr na Mike Tyson lililotarajiwa kufanyika mapema mwaka huu inadaiwa kuahirishwa kutokana na ratiba ngumu ya Mayweather kwa mwaka huu.
WAKATI Ligi Kuu ya Zanzibar ikisimama kwa ajili ya kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku ikitarajiwa kuendelea ...
KATIKA mpango wa kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana, Yanga imeonyesha kuwa siriazi na jambo lake baada ya kumchomoa Kocha Mohamed Badru huko Uingereza ambako alikuwa akiinoa May & Baker F.C.
KATIKA wimbo wake mpya wa African Soldier, msanii kutoka Nigeria, Patoranking amewataja nyota wawili wa Tanzania, Ali Kiba na Diamond Platnumz kama wanajeshi.
IDADI ya timu za Ligi Kuu Bara zinaendelea kupungua katika Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuchezwa mechi za hatua ya 32 bora.
LIGI Kuu England imefikia patamu kwelikweli. Arsenal inapambana kulinda pengo lake la pointi saba kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo dhidi ya Manchester City kwenye nafasi ya pili.
KINACHOONEKANA ni kama vile Marcus Rashford ameshacheza mechi yake ya mwisho kwenye kikosi cha Manchester United baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa kwa mkopo huko Barcelona.
Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa Sokoine kwa kukosa sifa ya kuchezewa mechi za mashindano yaliyo chini ya shirikisho hilo, Tanzania Prisons ...
Ligi yetu ni nzuri na ina ushindani mkubwa sana wageni wengi wamekiri. Lakini wakati maeneo mengine yakiboresheka, ...
FUJO za aina yake zimeibuka mwishoni mwa mechi ya fainali ya michuano ya jimbo la Minas Gerais nchini Brazil kati ya Cruzeiro ...
Mechi ya Watani wa Jadi (Derby) katika soka, kikawaida huwa ndio mchezo unaovutia na kuteka hisia za kundi kubwa la watu ...